Jarida la Aprili 2012

Kwenye warsha ya ATD Dunia ya Nne mwezi Aprili, “Tufanye kazi pamoja kama washirika walio sawa”, tutawaleta pamoja watu wanaoishi kwenye umaskini uliokithiri na watu wenye nyadhifa katika nyanja mbalimbali ili kushirikishana mawazo na uzoefu wao. Warsha itashereheshwa na maneno ya mwanzilishi wa ATD Dunia ya Nne, Joseph Wresinski, na raisi wa kwanza wa Tanzania, Julius Nyerere, ambao wana mawazo yenye mvuto na yanayofanana kuhusu umaskini…