Jarida la Disemba 2011

Salehe, mwanachama wa kikosi cha wanaharakati wa kujitolea ameombwa kujiunga na timu ya Marekani (USA). Baada ya ushuhuda wake tutaelezea maana ya kikosi cha wanaharakati wa kujitolea.
Machozi ya mtu maskini Tanzania ni sawa na machozi ya mtu maskini Uingereza au Marekani...”