Jarida la Disemba 2012

“Unapoishi katika umaskini uliokithiri, jambo unalofikiria kwanza kila siku ni jinsi ya kuilisha familia yako. Kila siku hata kabla sijanywa maji hufikiria jinsi ya kupata chakula. Unapoishi katika umaskini uliokithiri, akili na mawazo yako yanafikiria kitu kimoja tu nacho ni kuhusu hali ngumu ya maisha uliyo nayo. Unaifanyisha kazi ya ziada akili yako kwa kufikiria kitu kile kile kila siku…”