Jarida la Februari 2012

Wiki chache zilizopita, ilikuwa mwanzo wa mwaka mpya wa shule, muda wa kufurahia kwa watoto wengi, furaha za kuwa wanafunzi au kukutana na wanafunzi wenzao tena. Hata hivyo, kwa baadhi ya watoto, mwanzo wa mwaka wa shule ni wakati mgumu : kushindwa kuandikishwa kwa darasa la kwanza, umbali wa shule za secondary, kupata matatizo kwenye malipo yanayoagizwa shuleni…