Jarida la Septemba 2012

“Umaskini uliokithiri ni nguvu – Kuvunja ukimya – Njia kuelekea amani” ni dhamira ya utafiti uliofanyiwa na ATD Dunia ya Nne katika nchi 25. Kwa muda wa miaka mitatu watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri na wanazuoni walishirikiana pamoja kuchangia ujuzi wao na kuelewa umaskini. Mahitimisho yao yako wazi : “umaskini ni nguvu kubwa katika maana ya kukabiliana nao”…