Kama watu wazima tunajifunza pamoja

Kitu cha kwanza kupambana nacho ni kutokujua kusoma na kuandika kwa watu wazima. Kama inawezekana hapo baadaye, watoto wote wapate elimu bora kabisa ya msingi, wajue kusoma na kuandika na kwa njia hii kisomo cha watu wazima kitasahaulika. Mpaka kufikia hatua hiyo, ni juhudi gani Watanzania wanazifanya ili kutokomeza kisomo cha watu wazima ?