Ripoti ya mwaka 2010

Katika taarifa hii tutaelezea jinsi vipaumbele vyetu vilivyowekwa na timu ya ATD 2010. Hivi vimetokana na vielekezi vinne ambavyo ni mwogozo wa ATD hapa Tanzania mpaka 2012. Vielezi hivi viliwasilishwa katika taarifa ya 2009 (Tembelea )
Sehemu nne za mwanzo za taarifa hii zitaelezea vipaumbele kuainisha shughuli na miradi, pia maonyesho yaliofanyika 2010 ili kusonga mbele katika shughuli zetu.
Sehemu ya mwisho inaelezea matarajio yetu ya mwaka 2011.