Ripoti ya mwaka 2011

Sehemu ya kwanza ya ripoti hii – Kutokana na vipaumbele vinne – inaelezea vipaumbele hivi, ikiainisha shughuli na miradi iliyofanyika mwaka 2011 ili kusonga mbele katika shughuli zetu.
Sehemu ya pili ya ripoti hii – Kutokana na Matukio Manne – inaelezea matukio manne muhimu yaliyowezesha watu kuelezea majukumu yao na dhamira zao. Sehemu ya mwisho inaelezea – Matarajio ya mwaka 2012.