ATD Dunia ya Nne Tanzania Marejeo ya 2014

Tupo Pamoja! (We are together!)

Mwaka 2014,bega kwa bega pamoja na akinamama, akinababa, watoto, marafiki na jamii zinazoishi katika umaskini uliokithiri, Hivi ndio wanachama wa ATD Dunia ya Nne wamekua wakielezeana.

Shukrani kwa juhudi zote, tulizozijenga na nguvu zetu kwa ushirikiano uliotuwezesha kupambana na hali ngumu ya maisha ya kila siku.

Mwaka huu wa 2014 marejeo ya mwaka, tungependa kuonyesha juhudi na kujivunia kwa wale wote ambao, mbali na matatizo na changamoto walizonazo, walijitolea na watu wengine kuziwezesha familia

Maquette III – Kiswahili