Tarehe 17 mwezi wa 10, 2011 shughuli ya kijamii katika eneo la Kisanga

Mwaka huu tunasheherekea siku ya kutokomeza umaskini uliokithiri si tu kwa kupitia kusanyiko hili dogo la watu kwa shuhuda, mashairi, ngonjera, n.k. Pia tunaadhimisha kwa vitendo kwa kuungana na jamii katika shughuli ya kijamii ambayo kati yenu tayari mmeshashiriki jana na leo…