ATD DUNIA YA NNE TANZANIA JARIDA

Kuwa rafiki kwa asiyekuwa na rafiki si jukumu la mtu mmoja bali ni jukumu letu sote. Kudumu na thamani zaidi milele kama vijana ninyi kamwe hatokuwa na uwezo wa kuwapa jamii dhamira yenu. Jaribu kadri iwezekanavyo ili kuwa rafiki na wale walio pembezoni, hawana haja ya fedha zenu bali kukubalika kama binadamu. Patrick

Newsletter April 2016 SW

Mbinu: Kujifunza kutokana na Mafanikio

Kujifunza kutokana na Mafanikio ni mbinu ilikuzwa kwa kupitia Prof. Jona Rosenfeld kwa kuwafanya wafanya mazoezi (mwalimu, anafanyakazi ya ustawi wa jamii, mwanaharakati) kujifunza kwa vitendo. Orna Shemer, ni mwalimu wa chuo kikuu cha Yerusalemu ambae alijifunza mbinu hii, na alikuja Tanzania kusaidia washiriki katika semina kuangalia vitendo vyao na kujitoa kutoka njia ya mafanikio.
Alisema katika kuweka sawa ,kila mtu ana aina ya mafanikio katika maisha. (…) Tunajua ya kwamba mnafanya kazi pamoja, lakini tutamuuliza kila mmoja wenu: anafanya nini?… Atasema kwa mfano :’niliwaalika watoto ‘,ni takuliza : uliwezaje kuwaalika hao?’…Maswali
yetu tuna taka kupata ujuzi wa kila mmoja wetu… Ujuzi huo unakuja kutokana na uzoefu.”

Katika njia hii, kinacholengwa ni mtu alichokifanya, badala ya dhamira au uhalalisho. Kutokana na ujuzi, baadae kundi litajaribu kutengeneza “Kanuni ya Vitendo”. Sentensi hizi kutoka vitendo mbalimbali mfano. Kanuni hizi huanza kutoka hatua rahisi (mfano: ‘Kufuata mpangilio wa kanuni ya vitendo ukweli wa watoto’) kujitoa kwa undani sana (mfano: ‘Kupambana na ubaguzi. kuJenga amani kati ya watu’).