Jarida la Februari 2010

Kwa mara nyingine tena, wiki 5 zilizopita Haiti ilikuwa ikiboreka katika kuelekea mafanikio ya baadaye kwa watu wake. Tunawajua watu wa Haiti na wanatakiwa kuwa ni mfano wa kuigwa na dunia. Ushujaa, busara na umoja wao ni imara kuliko matatizo na majanga yanayo ikumba na kuathiri nchi yao.

PDF - 252.6 ko
Jarida la Februari 2010