Jarida la tapori: Februari – Aprili 2021

Mpendwa tapori,

Unamjua ndege mvumaji? Ndege huyu mdogo pia anatambulika kwajina la nyuki-ndege mvumi, ni kwasababu ya umbile lake dogo.
Ni mwepesi mno na anaweza kupapata mbawa zake zaidi ya maramia mbili ndani ya sekunde moja.

Tulipopokea taaarifa zenu ilitufanya tufikiri zaidi kuhusiana nandege huyu mdogo. Tulifurahishwa sana kwa mipango yenu yakuwa na ujirani ambao utakuwa na afya kwa kila mmoja. Kamavile ndege mvumi, mmetuonesha ya kwamba hamuhitaji kuwawakubwa kuwa na uthubutu na kuwahamasisha watu waliokaribu nanyi.

Kuanzia sasa kila mtu anaweza kufanya kidogo!

Kuendelea kusoma jarida hili, download PDF

0 comments Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *